New
31 October 2026 · By Fantasia School
NewNew for 7 days · until 7 November 2026
Dirisha la usajili wa wanafunzi limefunguliwa Sasa!
Tunapenda kutoa taarifa kuwa, hivi Sasa dirisha la usajili wa wanafunzi lipo wazi. ndugu wazazi na walezi tunawakaribisha kuwaleta watoto Ili wapate elimu Bora kupitia shule yetu
Read more